Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 260
- 418
Bora uwacholee mzee
Mimi nilikuwepo kwnye maombolezo kule dasalamu wengine hawakua wanazimia ila mtu anaishiwa nguvu wanambeba kwny kitnda sana sana wanwake,,,,kazi kupakaza mavi nch etu
Bora uwacholee mzee
Weka pichaNa wale walioshikilia simu pia walivishwa?
Kuichafua nchi kwa kutumia waombolezaji wa kutengeneza ?Bora uwacholee mzee
Mimi nilikuwepo kwnye maombolezo kule dasalamu wengine hawakua wanazimia ila mtu anaishiwa nguvu wanambeba kwny kitnda sana sana wanwake,,,,kazi kupakaza mavi nch etu
Je mtu akizimia anakuwa na fahamu kamili? Kwamba sasa afanye hiki au kile? Labda pengine sifahamu vizuri tafsiri ya kuzimiaKwani mtu akizimia lazima apanue mikono yake ? ukizingatia alikua amelazwa
Hao walio tengezwa ndio walivunja ukut airport ? ndio walijaa taifa ?Kuichafua nchi kwa kutumia waombolezaji wa kutengeneza ?
Mtu akizimia,shati,viatu huwa anavuliwa,nyie mkachukua mkoba na kumfunga mikononi,Ili mali zake zisipotee!!??kweli?????Mratibu wa Red cross Mkoa wa Mwanza amesema kwamba hakuna mtu yeyote aliyezimia akishikilia mfuko wake mkononi wakati wa kuaga mwili wa Dr Magufuli Mkoani humo.
Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili kulinda mali zao.
Ufafanuzi huu wa kishindo umetolewa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Redio Clouds .
Pia soma: Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?
😆😆😆 Pole sana mjombaHao walio tengezwa ndio walivunja ukut airport ? ndio walijaa taifa ?
Mnaichafua inch yet na serikali ya chuma nyie,,,washenz nyie sio wazalendo
watu wamezimia mimi naona live live wengine ni joto, wenhine waliongia mule kumuona,,,washenz nyie mnatymika kupakaa inchi mavi
Kwan we haujaudhuria maombolezo,,,.wat walikua wanashikilia vitu vyao sababu ya weng wa watu kuibiwa au kupoteza,,,,hawakua wamejiachia kama mazingira mengine,,,,kwa sabbau hio mtu anakua taari kwa loloteJe mtu akizimia anakuwa na fahamu kamili? Kwamba sasa afanye hiki au kile? Labda pengine sifahamu vizuri tafsiri ya kuzimia
Destruction (uharibifu) hebu tulia usome uelewe hoja yangu kisha unijibu kwa welediKwan we haujaudhuria maombolezo,,,.wat walikua wanashikilia vitu vyao sababu ya weng wa watu kuibiwa au kupoteza,,,,hawakua wamejiachia kama mazingira mengine,,,,kwa sabbau hio mtu anakua taari kwa lolote
Hiki au kile unavhouliza anakua asshakifany taari dk 5 nyuma na kwa sababu ingine sio kuzimia,,,,kama ulikuwep pale huwez uliza Wewe hukuwepo itakua ,,,nilienda na mjomba angu lakini tukapoteza watu walikua wengi sijawah kuona
Pole wewe usiekua mzalendo wa inchi ako,,,,mshenz wewe unapaka mavi😆😆😆 Pole sana mjomba
Hawa msalaba mwekundu ni wapuuzi, wanakanusha wakati picha zipo mitandaoni na tulikua tunaziona live, hii nchi inahitaji reform kila sektaMratibu wa Red cross Mkoa wa Mwanza amesema kwamba hakuna mtu yeyote aliyezimia akishikilia mfuko wake mkononi wakati wa kuaga mwili wa Dr Magufuli Mkoani humo.
Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili kulinda mali zao.
Ufafanuzi huu wa kishindo umetolewa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Redio Clouds .
Pia soma: Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?
Maajabu sana mkuu[emoji2][emoji2][emoji2] Red cross shida nin tena sisi tulimuona msukuma kashikilia kabisa kifungashio chenye sato nyie mmeamua kumtetea mwamba yul
Habari za Geita mkuuPole wewe usiekua mzalendo wa inchi ako,,,,mshenz wewe unapaka mavi
Na ijumaa nakuja dasalamu kuchukua t-shirt zetu zakumuenzi chuma yetu
Umesoma vizuri sababu waliyoitoa?😃😃😃 Red cross shida nin tena sisi tulimuona msukuma kashikilia kabisa kifungashio chenye sato nyie mmeamua kumtetea mwamba yul
Wanaaibisha for sureHao jamaaa waongo kweli
Hivi mtu akiwa unconscious huwa anakakamaa kama maiti? labda mseme huyo mnyonge kajiangusha tu
sina uhakika labda kifafa ila naona hali iliyokuwa inaendelea ni kama mass hystreria hiviHivi mtu akiwa unconscious huwa anakakamaa kama maiti? labda mseme huyo mnyonge kajiangusha tu