Mwanza: Msalaba Mwekundu wakanusha habari ya Watu kuzimia huku wameshikilia mifuko yao

Bora uwacholee mzee
Mimi nilikuwepo kwnye maombolezo kule dasalamu wengine hawakua wanazimia ila mtu anaishiwa nguvu wanambeba kwny kitnda sana sana wanwake,,,,kazi kupakaza mavi nch etu
Kuichafua nchi kwa kutumia waombolezaji wa kutengeneza ?
 
Kuichafua nchi kwa kutumia waombolezaji wa kutengeneza ?
Hao walio tengezwa ndio walivunja ukut airport ? ndio walijaa taifa ?
Mnaichafua inch yet na serikali ya chuma nyie,,,washenz nyie sio wazalendo
watu wamezimia mimi naona live live wengine ni joto, wenhine waliongia mule kumuona,,,washenz nyie mnatymika kupakaa inchi mavi
 
Mtu akizimia,shati,viatu huwa anavuliwa,nyie mkachukua mkoba na kumfunga mikononi,Ili mali zake zisipotee!!??kweli?????
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Pole sana mjomba
 
Je mtu akizimia anakuwa na fahamu kamili? Kwamba sasa afanye hiki au kile? Labda pengine sifahamu vizuri tafsiri ya kuzimia
Kwan we haujaudhuria maombolezo,,,.wat walikua wanashikilia vitu vyao sababu ya weng wa watu kuibiwa au kupoteza,,,,hawakua wamejiachia kama mazingira mengine,,,,kwa sabbau hio mtu anakua taari kwa lolote
Hiki au kile unavhouliza anakua asshakifany taari dk 5 nyuma na kwa sababu ingine sio kuzimia,,,,kama ulikuwep pale huwez uliza Wewe hukuwepo itakua ,,,nilienda na mjomba angu lakini tukapoteza watu walikua wengi sijawah kuona
 
Destruction (uharibifu) hebu tulia usome uelewe hoja yangu kisha unijibu kwa weledi
 
Hawa msalaba mwekundu ni wapuuzi, wanakanusha wakati picha zipo mitandaoni na tulikua tunaziona live, hii nchi inahitaji reform kila sekta
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Red cross shida nin tena sisi tulimuona msukuma kashikilia kabisa kifungashio chenye sato nyie mmeamua kumtetea mwamba yul
Maajabu sana mkuu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Red cross shida nin tena sisi tulimuona msukuma kashikilia kabisa kifungashio chenye sato nyie mmeamua kumtetea mwamba yul
Umesoma vizuri sababu waliyoitoa?

Make sense and I thought the same when I saw that trending pic
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hawa hawana kazi ya kufanya, hivi vichekesho vya mtandaoni ndo shirika kama red cross linakuja kujbu!
Au wameshinikizwa kujibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…