Mwanza: Msalaba Mwekundu wakanusha habari ya Watu kuzimia huku wameshikilia mifuko yao

Aisee!!
 
Tulisema kwamba mataga wanatengeneza mapicha ili mwendazake aonekane anapeeeeeeeeeeeeeendwaaaaa kumbe hamna kitu
 
Anko redcross anatudanganya.... Ukizima/ukizimia huwezi kung'ang'ania kushika kitu chochote bhana.. Ila kwa mujibu wa picha, mzimiaji anaonekana kaushikilia mfuko kwa upendo kabisa.. Yeye aseme tu walimlipa bei gani yule mbwiga ili tunaomdai tumfate
 
Ufafanuzi huu wa kishindo umetolewa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Redio Clouds......
Nimebaki kucheka tu maana wanatumia nguvu nyingi kwenye mambo si ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…