Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Munga ameamua kuwaaonya wenye vichwa ngumu,kuwa anaweza kuvibomoa kutoka angani.Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
😁😁😁😁Munga ameamua kuwaaonya wenye vichwa ngumu,kuwa anaweza kuvibomoa kutoka angani.
Mjini mana hata Mimi kuna mtu muda si mrefu alinicheki akinieleza yupo twn ila kuna mvua ya maweImagen mkolan imenyesha dakika 3 tu na imekata hyo ya mawe ni wap uko
Sijui kama wamepona!Watu wangu wa mabatini vipi hali huko???
Oook kumbe naona uku umeme umekata yaanza kunyesha nowMjini mana hata Mimi kuna mtu muda si mrefu alinicheki akinieleza yupo twn ila kuna mvua ya mawe
Mawe mengine tena! Yale ya pale ziwani nadhani yatakuwa yameongezeka.Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.