Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Bonus
Post in thread 'Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi' Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi
Next stop Kahama see you there
Upo wapi mkuu ulifika salama?Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu
See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Mlozi unataka kupokelewa 😀 , ingekuwa DAR ningekupa warning ila kwakuwa Mwanza mambo yale hayapo
Yale maghorifa ya jana usku leo umeyaona?Wandugu wa Mwanza bado nipo mjini kwenu humu[emoji3]
Wandugu wa Mwanza bado nipo mjini kwenu humu[emoji3]
Duh nilirudi kupumzika mapema [emoji1545]
Kwa moyo mkuu na upendo mkuu kabisa napenda kuwaaga watu wa Mwanza.. Pamoja na kwamba hatukufanikiwa kuonana lakini makaribisho yenu kwa wingi yalinifanya nijisikie niko JF ndani ya Roack city
Muda ulikuwa mchache na mambo yalikuwa mengi.. Nilichojifunza ni watu wa Mwanza kula ugali wa maana asubuhi [emoji23] huku ugali wa Dar ukiitwa uji..[emoji23] [emoji1544][emoji1544]
Nimeingia salama natoka salama[emoji1545][emoji1545].. Kama muonavyo mzigo umepungua sana[emoji3], huo uliobaki ni wa Gambosh! Mniombee sana[emoji2827]
Shinyanga nakuja kwenuView attachment 2616344