Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Upo wapi mkuu ulifika salama?
Salama mkuu salama kabisa muda huu niko Nyamagana bar..
20230509_150226.jpg
20230509_150218.jpg
 
Wandugu wa Mwanza bado nipo mjini kwenu humu[emoji3]
 
Kwa moyo mkuu na upendo mkuu kabisa napenda kuwaaga watu wa Mwanza.. Pamoja na kwamba hatukufanikiwa kuonana lakini makaribisho yenu kwa wingi yalinifanya nijisikie niko JF ndani ya Roack city
Muda ulikuwa mchache na mambo yalikuwa mengi.. Nilichojifunza ni watu wa Mwanza kula ugali wa maana asubuhi [emoji23] huku ugali wa Dar ukiitwa uji..[emoji23] [emoji1544][emoji1544]
Nimeingia salama natoka salama[emoji1545][emoji1545].. Kama muonavyo mzigo umepungua sana[emoji3], huo uliobaki ni wa Gambosh! Mniombee sana[emoji2827]
Shinyanga nakuja kwenu
20230510_090426.jpg
 
Mwanza [emoji1544][emoji1544][emoji1544] phantom yangu iligoma kutoka kwenye kiroba[emoji1787]
IMG-20230511-WA0175.jpg
 
Kwa moyo mkuu na upendo mkuu kabisa napenda kuwaaga watu wa Mwanza.. Pamoja na kwamba hatukufanikiwa kuonana lakini makaribisho yenu kwa wingi yalinifanya nijisikie niko JF ndani ya Roack city
Muda ulikuwa mchache na mambo yalikuwa mengi.. Nilichojifunza ni watu wa Mwanza kula ugali wa maana asubuhi [emoji23] huku ugali wa Dar ukiitwa uji..[emoji23] [emoji1544][emoji1544]
Nimeingia salama natoka salama[emoji1545][emoji1545].. Kama muonavyo mzigo umepungua sana[emoji3], huo uliobaki ni wa Gambosh! Mniombee sana[emoji2827]
Shinyanga nakuja kwenuView attachment 2616344

Ghamboshi simiyu? Kk uko Ndo Kuna makubw [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom