Kwa moyo mkuu na upendo mkuu kabisa napenda kuwaaga watu wa Mwanza.. Pamoja na kwamba hatukufanikiwa kuonana lakini makaribisho yenu kwa wingi yalinifanya nijisikie niko JF ndani ya Roack city
Muda ulikuwa mchache na mambo yalikuwa mengi.. Nilichojifunza ni watu wa Mwanza kula ugali wa maana asubuhi [emoji23] huku ugali wa Dar ukiitwa uji..[emoji23] [emoji1544][emoji1544]
Nimeingia salama natoka salama[emoji1545][emoji1545].. Kama muonavyo mzigo umepungua sana[emoji3], huo uliobaki ni wa Gambosh! Mniombee sana[emoji2827]
Shinyanga nakuja kwenu
View attachment 2616344