Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

The Cask,Diamond,Bonasera,Gold Cest,Weekend carwash walau sehem zilizotulia tulia ukijichanganya inakula kwako
 
Mkuu yaani kabla hata ya nyakato sokoni!

Ukitoka buzuruga stand, unaipita shell imeandikwa camel, unalipita hilo daraja unapandisha juu kama unaenda nyakato sokoni!
Juu ya hilo daraja mkono wa kushoto kuna mabasi mengi mengi ya TATA huwa yanapaki hapo unayapita hayo mabasi utakutana na bango limeandikwa MWANZA LIVE!

Bom au
 
Nipo Kahama but tomorrow if God wish I’ll be there share location please
 
Back
Top Bottom