Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!

Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Wala hakuna walipokwama, sio elimu, sio ujinga na sio ushirikina maana umeambia ni wizi wa mihogo kwa mujibu wa taarifa

Kuiba sio ukosefu wa elimu maana wezi wengi ni wasomi

Kuuza shamba isivyohalali ni utapeli na utapeli hufanywa na wasomi pia

Tatizo la kanda ya ziwa ni nature, kwa sisi wazawa wa kanda hiyo, ukisema elimu au ujinga tutakukatalia kata kata, kuna zaidi ya hizo nadharia
 
"nyinyi wasukuma"?

Imani za kishirikina sio ushamba wala sio ujinga na hilo hawafanyi wasukuma tu, hivyo kigezo cha ushirikina hakiwezi kutumika kuconclude kuwa wasukuma ni washamba au umesahau kuwa ni hapahapa jf kulikuwa na taarifa ya paul pogba kutofautiana na kaka yake kwa tuhuma za ushirikina, je, pogba ni msukuma?
 
Wewe msukuma wa mchongo..yani unakana mila natamaduni unashadadia za wazungu na waarabu..ndoho kaji aha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ninaamini na wanaukoo waliouza shamba la marehemu bila kfahamisha mjane nao ni wahusika wakamatwe waunganishwe kwemue kesi.

Wanhefuata utaratibu marehemu asingefikwa nanumauti
 
Tukisema CCM ni chama cha mazuzu hatudanganyi jamani. Msishangae baada ya siku tatu mkawakuta mtaani, wametokaje, majibu hamna.
 
sheria mkononi
 
Niwasaidie kidogo ktk hili.
Ni hivi huyu mtuhumiwa (Jetu) marehemu kisa chake kinaanza baada ya yeye na wanawe wawili wa kiume kutuhumiwa kumuua baba yao kisa mali (mashamba).

Jetu na mumewe walishatengana kitambo sasa shida ikaja baada ya huyo mume kuoa mwanamke mwingine, watoto na mama yao walidai haki yao kama ilivyo kawaida.
Siku kadhaa zilizopita mume aliuwawa na watu wasiojulikana akiwa shambani kwake. Kwakua inshu nzima wananzengo wanaijua main suspect alikua ni huyo Jetu na wanawe.
Sasa kama mjuavyo ndg zetu hawa (wasukuma) kwa mihemko ilibidi uitishwe mwano (ukunga) wakafanyikiwa kumkamata marehemu pekee kwani vijana wake walifanyikwa kuchimba.
Ripota wangu ni ticha mmoja hapo ikoni anadai kifo alichokufa ni kibaya kwani alifunikwa na matawi ya mti wa mwembe akiwa hai Kisha ukawashwa moto, video inatisha.
Watuhumiwa wa tukio wamekimbia Sasa inabidi viongozi wasaidie katka kuwabaini, si kweli kwamba viongozi wameshiriki ujinga huo.
 
kwa kweli jeshi letu linaenda na wakati tayari limecover matukio ya disemba 2022!
 
Ukurasa wa 2 unaonyesha TUKIO LIMETOKEA 05/12/2022 yaani MWEZI UJAO.

Umakini zero kabisa.
Anyway hata hivyo Polisi wote ni la SABA C.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…