Wala hakuna walipokwama, sio elimu, sio ujinga na sio ushirikina maana umeambia ni wizi wa mihogo kwa mujibu wa taarifaWasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Kuiba sio ukosefu wa elimu maana wezi wengi ni wasomi
Kuuza shamba isivyohalali ni utapeli na utapeli hufanywa na wasomi pia
Tatizo la kanda ya ziwa ni nature, kwa sisi wazawa wa kanda hiyo, ukisema elimu au ujinga tutakukatalia kata kata, kuna zaidi ya hizo nadharia