Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

Unapajua nyamagana garden? Ipo nyegezi zamani walikua wanatengeneza nzuri sijui sasa
 
Achana na kitimoto ukiwa Mwanza....

Furahia namdhari ya nyumba ndani ya mawe na milima ya mawe, wakazi wataalam wa kunyonga baskeli nakadhalika.

Kama ni mdau a kupenda msosi basi kula Samaki wanaopatikana huko kama chakula kwa muda uko huko hadi utapoondoka.

Sato au Sangara wa supu/mchemsho
Sato au Sangara wa kuchoma
Sato au Sangara wa kukaanga
Sato au Sangara aliyechovywa mchuzi
Ukitaka kubadili ladha agiza wale waliokaushwa /vibambala.
Ukiweza kulumangia dona na dagaa la Mwanza basi utakuwa ume vyeza sana.

Kila la kheri.
mmhh
 
Back
Top Bottom