Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

nimewai enda hapo n pachafu na papo local sana.Ila nyama za kutosha
Ulikula nyama? Na kama ulikula je uliugua? Na kama hukuugua kwanini upaite pachafu? Pale ni machinjio ya kitimoto, kila aina ya kitimoto pale utaipata, kwa wale wezangu wasio na nguvu pale kuna supu ya makende ya pig ukipiga bakuri 2 au 3 shem maji ataita mma.
 
Ilishafungwa ikahamia buswelu nako wakafunga
Na faza wa lile chimbo tumemzika mwaka jana
Fogo Pub ipo na nimekula kitimoto hapo last week, na wanaochoma ni haohao akina Kalisa sema wamebaki wawili mmoja yuko hapo mwingine yuko anakuwa anazunguka..mwenzao alifariki kwa ajari mwaka jana akitokea Malaika.
 
Back
Top Bottom