Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

Kabisa anajikuta kusema pachafu na analia na bei ya tilapia huyu mtalii
 
Niko Mwanza kitaliii….
wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
nenda hadi kona ya bwiru, kata kwenda kushoto pale kwenye mataa,nenda moja kwa moja vuka kidaraja cha mto, kuna bar kubwa sana pale upande wa kushoto, ila upande wa kulia barabara iyoiyo ya vumbi wanachoma kitimoto safi sana, na ndizi. Onyo: sijakuelekeza hapo ukanywe pombe.
 
nimeshakula apo aiseee
 
nimeshafanya hiyo kazi ya kujaribu jaribu ila Andys pub wamevunja recodr
 
Wadada wanapenda chips kuliko Kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…