Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara

Wewe kama ni mwenyeji wa Mwanza basi utakuwa very poor in geography and mathematics.

Yani hata Mimi ambae Mwanza nimekuja juzi nakushinda mkuu..

Ni kwamba hukwenda shule ama?

Hujui hesabu?


Weekend = Ijumaa Jumamosi plus Jumapili.

Ndani ya hizo siku 3 ninashindwa vipi kutembelea mitaa hiyo niliyo itaja?

Leo ijumaa si ihesabu kwa sababu nina appointment na PAPUCHI 2 so nitafanya zoezi hilo kesho Jumamosi na keshokutwa jumapili.

Kesho jumamosi: BUTIMBA + NYEGEZI.


Butimba + Nyegezi = Njia moja hiyo.

Asubuhi naenda kupiga misele Butimba nafanya SITUATIONAL ANALYSIS ambayo najua wewe hujui ni kitu gani

Then after that naenda zangu Nyegezi.

Nikitoka Nyegezi naenda kulala lodge Nyakato. Asubuhi napiga misele hapo Nyakato then mchana naenda Kirumba napiga misele hapo kisha namalizia Nyamanoro kwa sababu Kirumba na Nyamanoro ni pua na mdomo. Nalala Nyamanoro,asubuhi naamkia Airport kwa sababu kutoka hapo Nyamanoro a Airport sio mbali.

Hesabu ndogo kama hii inakushinda vipi?
 
Umenikumbusha mshkaji wangu aliewahi kumkuta jirani yake mrembo na mpole ameJipanga pale vitunguu ya zamani anajiuza, buku 2000 kwa tukio. Sasa hivi kuwa na mke mmoja ndio sifa maana wanawake ukiwafukuzia ni wengi na wepesi kuliko miaka yote tangu nchi ipate muungano. Unachoandika sio sifa ni udhaifu.
 
Wenzetu wakina Karl Peters na Christopher Columbus walikua wakitembea sehemu tofauti na kwao walikua wanangalia fursa za uwekezaje, sisi tunaangalia sehemu ya kukojolea
Mkuu mimi sijaja duniani kuji stress mkuu. Nimekuja duniani kustarehe. Wao kina Karl Peters walikuwa wanafanya kilicho waleta duniani.. kuji stress
 
Mkuu unaendelea kujikanyaga mwenyewe, yetu ni macho wala hatukubishie,........njia ya muongo ni fupi umesha kamatwa hi ni chai kabisa.
 
Mkuu, i am regretting to tell u that ur living in the 80s. I command u to walk out of ur 80s into the 2020s
 
Upuuzi mwingi sana,
Wanawake tu ndio ulioona wa kuongelea tofauti uliopima wewe.
Malaya wapo kila mahali km ndicho unapima we ni poyoyo.
 
"Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi mnateketea kwa kuendekeza Umalaya". - Joseph Haule(Prof Jay)
 
"Pale Butimba nitaenda kwenye chuo cha Ualimu kuanzia totoz wanao somea ualimu Grade 3A pale Butimba TTC.".........
Hiyo kozi butimba haipo tena au unasemea butimba ya wapi mkuu? Hi ni chai kubali au kataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…