Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Hahaa kumbe ndiyo tabia zenu wazee eeh
Mbona sijasema?
Ukweli ni kwamba humu watu wanajifanya watakatifu lakini wanaliwa kuliko kawaida, tena wanajifanya wasiri lakini kumbe amewapanga hadi wanaume 5 😂😂

Mimi napenda Ironbutterfly alivyo mkweli.

Msema kweli ni rahisi kutubu na kwenda mbinguni....ukweli mchungu
 
Sawa ila kuna kusema ukweli kwa kujutia ulichokifanya na kuna kusema kwa kuona ni sifa na nikitu kizuri ulichofanya, so kama huo ndiyo ukweli wa kwenda mbinguni sawa
 

Jikaze Utaharibu sasa!

Hata kama unamtaka sio kirahisi hivyo usijiweke ki weak hivyo...
Maana kabisa unasema kesho naenda kutana naye wakati huo huo ulimwambia wwe ni mke wa mtu na una watoto plz stop it utajiabisha!

Wasukuma wana Tabia ya kupima Mtu kumwangalia kama ana misimamo au lah! Huenda ana connection na Ukweni kwako na anakupima Jiangalie usije ukatie kitumbua mchanga....

Ushauri Wangu:

Usimsaliti Mumeo Chukulia Picha ana kutana na Pisi Kali wangapi ila anakaza kiume..
Muoneshe unamjali na kumthamini hata pale asipokuona na huo ndo huitwa upendo wa kweli !
kingine Wewe Ni Mwanamke Mwenye watoto Pia, kuwa na kiasi ,Tuliza Moyo wako na kingine hakuna mwanaume ambaye haoni wasichana wazuri wenye. Maumbo mazuri lakini muda wote tunajishikilia!
 
Sawa ila kuna kusema ukweli kwa kujutia ulichokifanya na kuna kusema kwa kuona ni sifa na nikitu kizuri ulichofanya, so kama huo ndiyo ukweli wa kwenda mbinguni sawa
Adui wa mwanamke ni mwanamke.

Jamani kila siku wanaume wanafungua nyuzi za kula warembo, sioni kosa la huyu kwani najua kila mtu humu analiwa na kula...kila mtu muongo humu
 
Glenn muone mzee mwenzio huku , iron muongo sana wewe na hata hucheat unatuchora tu hapa tunavyotoa povu
Wala ni kweli
Jamaa tulisoma wote chuo kikuu
Mie nikaajiriwa serikalini ye hakubahatika
Nikampa idea ya kufungua kampuni ya aliyosomea,tulisoma course moja,nikawa Nampa michongo ya kazi,hadi kampuni ikasimama,na alivoanza pata visent ndo mizozo na kucheat vikaanza,so hanistui.
 
Kwa maelezo yako siyo kwamba huyo kijana ni handsome Sana ilaa wewe ndiye una suraa mbovuu unaonekana ww ni cheap saana mtu akitaka anajipigia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…