Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Tutumie picha walau tusafishe macho hata ya kifua tu, kweli mwanaume mmoja hatoshiWatu hawaamini
Huyu Jamaa ni handsome hataree
Hapa nasubiri ninywe chai nitoke kiaina nikamwone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutumie picha walau tusafishe macho hata ya kifua tu, kweli mwanaume mmoja hatoshiWatu hawaamini
Huyu Jamaa ni handsome hataree
Hapa nasubiri ninywe chai nitoke kiaina nikamwone
Glenn muone mzee mwenzio huku , iron muongo sana wewe na hata hucheat unatuchora tu hapa tunavyotoa povuYule bwege hawezi gundua
Nimemzid akili na maarifa
Hata biashara anayomiliki mie ndo niliibuni na kumpatia sponsor,so hana command kwangu👌
Bado sijatoka nasikilizia baba mkwe atoke sebuleni,nianze harakati za kutoka kistyle 🤣🤣Tutumie picha walau tusafishe macho hata ya kifua tu, kweli mwanaume mmoja hatoshi
Mbona sijasema?Hahaa kumbe ndiyo tabia zenu wazee eeh
Lile tako ni kufuru mkweUna dhambi mamkwe😂😂
Haya cute tuko hapa kusubiriBado sijatoka nasikilizia baba mkwe atoke sebuleni,nianze harakati za kutoka kistyle 🤣🤣
Kama la mwanao?Lile tako ni kufuru mkwe
Sawa ila kuna kusema ukweli kwa kujutia ulichokifanya na kuna kusema kwa kuona ni sifa na nikitu kizuri ulichofanya, so kama huo ndiyo ukweli wa kwenda mbinguni sawaMbona sijasema?
Ukweli ni kwamba humu watu wanajifanya watakatifu lakini wanaliwa kuliko kawaida, tena wanajifanya wasiri lakini kumbe amewapanga hadi wanaume 5 😂😂
Mimi napenda Ironbutterfly alivyo mkweli.
Msema kweli ni rahisi kutubu na kwenda mbinguni....ukweli mchungu
Habari za asubuh Wana ukumbi
Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌
Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.
Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣
Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed
Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Adui wa mwanamke ni mwanamke.Sawa ila kuna kusema ukweli kwa kujutia ulichokifanya na kuna kusema kwa kuona ni sifa na nikitu kizuri ulichofanya, so kama huo ndiyo ukweli wa kwenda mbinguni sawa
Wala ni kweliGlenn muone mzee mwenzio huku , iron muongo sana wewe na hata hucheat unatuchora tu hapa tunavyotoa povu
Kama la mwanao?
🤣🤣🤣🤣Siongeagi na wajinga
Unauchosha ubongo wangu
Pita kushoto ,shobo za nini kilaza?🤣🤣
Duuh hilo hapana sasaMara tatu na nusu nadhani tako na hips kweli lilikuwa chotara la kihindi ebhana ndio
Bado nasikilizia mazingira ya kutoka ukweniUshampa
Kwa maelezo yako siyo kwamba huyo kijana ni handsome Sana ilaa wewe ndiye una suraa mbovuu unaonekana ww ni cheap saana mtu akitaka anajipigia tuuHabari za asubuh Wana ukumbi
Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌
Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.
Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣
Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed
Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Kauli hii imenivunja moyo IronYule bwege hawezi gundua
Nimemzid akili na maarifa
Hata biashara anayomiliki mie ndo niliibuni na kumpatia sponsor,so hana command kwangu👌