Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Na haya mambo ni kweli kabisa nilisahi kutana na Mdada Mmoja hivi ana umbo zuri na sura nzuri ila alikuwa anaonekana anaongea na simu kwa kufoka sana...

Kila baada ya dka 5 anaongea na simu nikamsubiria nikarusha ndoano..

Mtoto kaidaka ndoano kwenye kuongea naye kwamda mrefu nikagundua kwanza ni mlokole wa Wale mashahidi wa yehova tena Ni mwalimu wa Dini 😅😅..

Wamezinguana na Mumewe na amekubali kabisa kuwa na mimi na ana mume wake Nikawa nazidi kumpeleleza nikagundua Wanaume tuna safari ndefu ya kwenda....

Wanawake nowdeiz ukiwauzi kidgo tu wanatoa siri zote za ndani maana niliambiwa mwanaume wake si lolote wala si chchote kwenye Uwanja unaotumika kwa usingizi akamkandia kweli kweli na ni mtu mwenye heshima hapo mjini..

Ila shida moja alikuwa anamcheat sana huyo mdada na alikuwa kama anamuonea tu...

Sikufanikiwa Kutembea naye Cuz niliona ni upuuzi kumuumiza mwanaume mwenzangu Tena bahati mbaya aliponitajia nilikuwa namjua vizuri sana....
 
Ina maana mumeo hakutoshi hadi umemtamani huyo nyanda mla nguna na mboga mboga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…