bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ukimpa ulete mrejeshoBado nasikilizia mazingira ya kutoka ukweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimpa ulete mrejeshoBado nasikilizia mazingira ya kutoka ukweni
Ndo wengi walivyo wakishapigwa chini uanza kulia kwa mwamposaKauli hii imenivunja moyo Iron
Ni balaaDuuh hilo hapana sasa
🤣🤣Njoo ujipigie basiKwa maelezo yako siyo kwamba huyo kijana ni handsome Sana ilaa wewe ndiye una suraa mbovuu unaonekana ww ni cheap saana mtu akitaka anajipigia tuu
Soma mazingira upya basi?Ni balaa
Pole ndugu yangu kwa kukuvunja moyo🙏Kauli hii imenivunja moyo Iron
Nakuja PM chap🤣🤣Njoo ujipigie basi
Kichupa kimeshajaa kwani?😂😂😂😂Soma mazingira upya basi?
Usijali undugu wetu uko pale palePole ndugu yangu kwa kukuvunja moyo🙏
Hakijafunguliwaga bojoKichupa kimeshajaa kwani?😂😂😂😂
Kuna Mwenzio kaniofa laki mbili pm,sijui wewe utaweka bei gani?Nakuja PM chap
Unaanza ufala sasa, nitakutoa bure ujue😂Kuna Mwenzio kaniofa laki mbili pm,sijui wewe utaweka bei gani?
Ina maana mumeo hakutoshi hadi umemtamani huyo nyanda mla nguna na mboga mboga?Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
😂😂Ndo wengi walivyo wakishapigwa chini uanza kulia kwa mwamposa
Liongo weweHakijafunguliwaga bojo
Niamini mamkweLiongo wewe