Mwanza: Nimekutana na handsome balaa



Huna mume, Malaya wewe, Hata kama unaye unauza, Hakuna mke anyejielewa atajisifia huo ujinga, hata akiliwa atajionea aibu. Hupati mtu hapa mwizi wewe
 
Kwa kweli hatufahamu stori nzima, inawezekana mume wake hacheat kabisa , au inawezekana anamcheat. Tunajua tunachokijua tu kaka. Kama mume wake hacheat, sijui itakuwaje maana hiyo ni imbalance tayari.
 
6. HUENDA ANACHANGAMSHA JUKWAA NA WEEKEND IISHE VYEMA
 
Ila ukioa mcharuko hata akichepuka akishangazi maana you expected it oneday atachepuka , sasa oa wale wanakuaga na ushamba na hawana mambo mengi, wapole wee, ukimuangalia hivi kama masista, kama malaika sasa huyo akucheat ndiyo utajua mbinguni mbali na siku zote ulikua hujui ni mbali hahahaha muishi kwa akili eti
 
Kumgundua mcharuko ni kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…