Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Naona umekutana na msumari wako😂Kaka umekuja leo mjini? Hebu niache mie
Watu wanatunza mafile ya watu kama mashindano vile😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umekutana na msumari wako😂Kaka umekuja leo mjini? Hebu niache mie
Ananijua kuliko navyojijua yaniNaona umekutana na msumari wako😂
Watu wanatunza mafile ya watu kama mashindano vile😂😂
Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Kwa kweli hatufahamu stori nzima, inawezekana mume wake hacheat kabisa , au inawezekana anamcheat. Tunajua tunachokijua tu kaka. Kama mume wake hacheat, sijui itakuwaje maana hiyo ni imbalance tayari.You and me we dont have any cruel hao watu wanapitia yapi, siajabu ukichimba sana ukajua unaweza shangaa mwanamke ndiyo anatoka sana nje ya ndoa wewe, sasa hatujui ya kwao ila sisi tunapamba na Ironbutterfly ambaye sasa tupo nae hapa kuwa hilo analotaka kufanya sio sahihi, wewe unaona ni sahihi? ... Shida wanawake huwa mnapenda kuhisi vitu visivyo na ukweli mfano mume akichelewa kutoka kazini utaanza kuwaza ana mwanamke ameenda kumla sasa ubongo unahisi hisi tu sasa hizo fikra hasi kwanini usimuwaziee mumeo chanya
Huu mchezo hauhitaji hasira, this is jf kijana.Huna mume, Malaya wewe, Hata kama unaye unauza, Hakuna mke anyejielewa atajisifia huo ujinga, hata akiliwa atajionea aibu. Hupati mtu hapa mwizi wewe
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We huyo humuwezi Ironbutterfly fujo mingi na kondom hatavaaOk, kila la heri, usisahau condom.
6. HUENDA ANACHANGAMSHA JUKWAA NA WEEKEND IISHE VYEMAPicha linaanza we unajipitia zako, jamaa anakula ugali... halafu akakuita "We sista njoo!"
Umeitwa kama mfungwa au wale wadada wauza mihogo, karanga mbichi na nazi kwenye mabeseni huku Dar... Haya ukaenda kufika anakusemesha kama polisi eti...
"Unaenda wapi?! Unaitwa nani?! Unaenda kumuona mtoto?! Hujakaa sawa... "nipe namba yako" ukajionesha wazi wewe ni mdhaifu kwa majibu yako uliyoyaandika hapo juu, jamaa akachukua simu yako akajibipu... yaan mtu anachukua simu yako dahh! Ndomana mnaporwaga mnabaki kulia kama ndama! Simu ni privacy ya mtu, jamaa kadiriki kukupora na kuandika namba yake... sijui tangu mwanzo ume-notice mambo ngapi hapa 😊😊😊
Kufika anakupigia masimu na kukuuliza mavitu kama wewe ni mkewe au tayari kashakukojolea vya kutosha! Bado anaendelea kupigahizi masimu na unaona mtu hapokei, huwezi jua yuko mazingira gani, au yuko na nani na anafanya nini...
Hakuna ulicho-notice bado unaombwa meeting na stranger usiyemjua kutoka mkoa mwingine uko na mawazo ya kutoroka ukaonane nae. Anyways! Kwa harakaharaka nime-note yafuatayo:-
1. UNA NYEGE
2. HUJIELEWI NA THAMANI YAKO HUIJUI
3. NI RAHISI KUTAWALIWA NA KUTESEKA AU KUTESWA NA MWANAUME
4. UNAAMINI WATU KIURAHISI SANA!
5. UNAFIKIRI KWA MITA MOJA.
Kutunza mafaili ni muhimu. Huwa nanote kila Uzi na kurecall. Si unajua Mungu kanipa uwezo mkubwa wa kiakili.Naona umekutana na msumari wako😂
Watu wanatunza mafile ya watu kama mashindano vile😂😂
Huu mchezo hauhitaji hasira, this is jf kijana.
Huenda mtu anachangamsha genge wewe tayari umetukana kabisa😂😂😂
🤣🤣Kwani nimekutangazia biashara?Huna mume, Malaya wewe, Hata kama unaye unauza, Hakuna mke anyejielewa atajisifia huo ujinga, hata akiliwa atajionea aibu. Hupati mtu hapa mwizi wewe
Asivae condom? Nyama kwa nyama yaani, si analeta magonjwa. Mume anapata HIV hajui ameipataje[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We huyo humuwezi Ironbutterfly fujo mingi na kondom hatavaa
Hiyo muhimu👌Ok, kila la heri, usisahau condom.
Hebu acha ujinga wewe leo umevuta bangi???😂😂😂🤣🤣Kwani nimekutangazia biashara?
Haya naenda kuliwa amua utakavyo
Kutunza mafaili ni muhimu. Huwa nanote kila Uzi na kurecall. Si unajua Mungu kanipa uwezo mkubwa wa kiakili.
Kumgundua mcharuko ni kazi.Ila ukioa mcharuko hata akichepuka akishangazi maana you expected it oneday atachepuka , sasa oa wale wanakuaga na ushamba na hawana mambo mengi, wapole wee, ukimuangalia hivi kama masista, kama malaika sasa huyo akucheat ndiyo utajua mbinguni mbali na siku zote ulikua hujui ni mbali hahahaha muishi kwa akili eti
Ndo nawarudhisha home baada ya kunyoa na kuwapa juice na biscuitsHebu acha ujinga wewe leo umevuta bangi???😂😂😂
Nakuja pm nikuzuie
Hakuna mwanadamu aliyeko mwezini, watu walioko ndani spaceships zote zina muda wa kukaa kutokana na oxygen wanayopewa, pia gravitational force ya mwezi na atmosphere ya mwezi haiwezi mfanya mtu aishi muda mrefu mwezini, atakufa tu.Wenye wako na akili wapo huko mwezini tuliobaki huku duniani ni vilaza tu
Kaka tujadili hb wa mtoa mada, hayo mengine kuna jukwaa lakeHakuna mwanadamu aliyeko mwezini, spaceships zote zina muda wa kukaa kutokana na oxygen wanayopewa, pia gravitational force ya mwezi na atmosphere ya mwezi haiwezi mfanya mtu aishi muda mrefu mwezini, atakufa tu.