Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakatifu wa watakatifu,[emoji23][emoji23] acheni tuipe kitu roho inapenda
Eeh mida si mrefu ntaonana nayeSema kweli, leo unaliwa na cheusi mwenzangu kweli?😂
Sasa kumbe ulijifunza baada ya kukosea, acha na wengine wajifunze mbona masumbuko ni mengi? Hivi kwamba akiamua kuliwa au kutoliwa we utajua?je Inakuhusu? Mnaumia na nini hasa?Utakatifu haujii tu lazima upite kwenye kaa la moto, hata gold inapita kwanza kwenye moto, tumeshajifunza life ukiona nyani mzee juwa kashakwepa sana mishale mingi... Muda ni mwalimu eti ila tu msicheze bila akili maana mbele majuto ni mengi sana,
Toeni upwiru ila mjue kama ni usaliti ni lazima una payback
🤣🤣Mbona unahubiri Sana?Utakatifu haujii tu lazima upite kwenye kaa la moto, hata gold inapita kwanza kwenye moto, tumeshajifunza life ukiona nyani mzee juwa kashakwepa sana mishale mingi... Muda ni mwalimu eti ila tu msicheze bila akili maana mbele majuto ni mengi sana,
Toeni upwiru ila mjue kama ni usaliti ni lazima una payback
Aisee fika kwa jamaaHabari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Kwani padri au shehe akikulilia utubu dhambi zako wewe huwa unahisi nini au inamuhusu nini haya ndiyo maswali yako au inamfaidisha nini wakati mwili ni wako ndiyo maswali ya mwanampotevu fanya yaliyo mema na mema yatakuakisiSasa kumbe ulijifunza baada ya kukosea, acha na wengine wajifunze mbona masumbuko ni mengi? Hivi kwamba akiamua kuliwa au kutoliwa we utajua?je Inakuhusu? Mnaumia na nini hasa?
yaliyo mema makasiriko ya nini kama una upwiru hakuna aliekushika mkono mkagawe tu ni lifestyle yenuKwani padri au shehe akikulilia utubu dhambi zako wewe huwa unahisi nini au inamuhusu nini haya ndiyo maswali yako au inamfaidisha nini wakati mwili ni wako ndiyo maswali ya mwanampotevu fanya yaliyo mema na mema yatakuakisi
Kujifunza sio lazima iwe wewe na nafsi yako jamii iliyokuzunguka pia ni darasa, wewe inakuuma nini pia tukimshauri Ironbutterfly yaliyo mema makasiriko ya nini kama una upwiru hakuna aliekushika mkono mkagawe tu ni lifestyle yenu
[emoji1787][emoji1787]Mbona unahubiri Sana?
Ngoja tusubiri. Mi nishawahi ona wanawake ambao waume zao wako mbali, na hawatawaliwi na genye, mume anarudi wanafanya Yao, then anaendelea na shughuli zake za kusafiri..
Sasa ungekutana na mimi si hata huyo mtoto ungesahau kumchukua[emoji3]jamaa ana bahati mshangazi huu hapa uko wet[emoji1787]
aisee,
Nilikuwa nakurekebisha tu hapo dada.Kaka tujadili hb wa mtoa mada, hayo mengine kuna jukwaa lake
😂😂😂 Nyege mtawalia, hatutakiwi kupenda wala kuonyesha mapenzi akyaakyaakyaaaaWewe unajuaje kwamba hawatawaliwi na nyege? Au unadhani usipomwona mtu akifanya uhuni ndio inamaanisha hafanyi? Halooo una safari ndefu sana wewe.
Wewe unadhani hata mtoa mada kwenye maisha halisi hamna watu wanaomwona hatawaliwi na nyege?
Mwenye mke wake uje umchukue huku, anatugombanisha ma-bachelor!Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya[emoji108].
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.[emoji1787]
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Sawa. Wema unaitwa uovu na uovu unaitwa wema. Nyege zinaanza kwenye ubongo, kama mtu hawazi mambo hayo hawezi kuwa na nyege. Sex starts in the mind.Wewe unajuaje kwamba hawatawaliwi na nyege? Au unadhani usipomwona mtu akifanya uhuni ndio inamaanisha hafanyi? Halooo una safari ndefu sana wewe.
Wewe unadhani hata mtoa mada kwenye maisha halisi hamna watu wanaomwona hatawaliwi na nyege?
Kwanini unasema hivyo? Unamfahamu?Wewe ni LGBTQRS kwahyo usituchoshe
SawaWewe ni LGBTQRS kwahyo usituchoshe