View attachment 2788110
Sidhani kama huyu baharia kaoa huyu. Anyway hata kama ni mume wa mtu kwa wasifu wake huu wa kimwonekano na alivyomdaka kirahisi huyu mke wa mwanaume mwenzetu, unafikiri atakuwa ana pisi ngapi?
Kwangu mimi ishu wala siyo kuchapiwa maana najua hiyo ni guaranteed. Hofu yangu kubwa ipo kwenye kuletewa magonjwa hasa ukizingatia kuwa wanawake system yao iko open na kwao kupata haya magonjwa ya zinaa ni rahisi sana. Nimejinyima na kujitunza huko nikikwepa mishale ya UKIMWI tangu ujanani huko halafu yeye ndiyo aje aniletee kiboya kisa tu eti kakutana na baharia handsome? Aisee gunia la mkaa litamhusu tu maana hakuna namna 😬😬😬🚮