Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Watakatifu wa watakatifu,[emoji23][emoji23] acheni tuipe kitu roho inapenda

Utakatifu haujii tu lazima upite kwenye kaa la moto, hata gold inapita kwanza kwenye moto, tumeshajifunza life ukiona nyani mzee juwa kashakwepa sana mishale mingi... Muda ni mwalimu eti ila tu msicheze bila akili maana mbele majuto ni mengi sana,

Toeni upwiru ila mjue kama ni usaliti ni lazima una payback
 
Sasa kumbe ulijifunza baada ya kukosea, acha na wengine wajifunze mbona masumbuko ni mengi? Hivi kwamba akiamua kuliwa au kutoliwa we utajua?je Inakuhusu? Mnaumia na nini hasa?
 
🤣🤣Mbona unahubiri Sana?
 
Aisee fika kwa jamaa
 
Sasa kumbe ulijifunza baada ya kukosea, acha na wengine wajifunze mbona masumbuko ni mengi? Hivi kwamba akiamua kuliwa au kutoliwa we utajua?je Inakuhusu? Mnaumia na nini hasa?
Kwani padri au shehe akikulilia utubu dhambi zako wewe huwa unahisi nini au inamuhusu nini haya ndiyo maswali yako au inamfaidisha nini wakati mwili ni wako ndiyo maswali ya mwanampotevu fanya yaliyo mema na mema yatakuakisi

Kujifunza sio lazima iwe wewe na nafsi yako jamii iliyokuzunguka pia ni darasa, wewe inakuuma nini pia tukimshauri Ironbutterfly yaliyo mema makasiriko ya nini kama una upwiru hakuna aliekushika mkono mkagawe tu ni lifestyle yenu
 
"Aka chukua simu yangu, akajibipu" Sasa, hiyo simu yako, alijibupuje wakati, kawaida simu zinakuwa na password? Zipo, locked? Sema, umeombwa namba, ukatoa fasta, sio "ohh sitoi namba kwa, strangers!!
Mmekutana wote walugaluga! Kipindi hicho nipo bado kijana, 1999,binti kama nyinyi mnaokubali fasta fasta, tulikuwa tunawaita, chupi mkononi!!
Wapo tayari kwa gemu muda wowote!
 
yaliyo mema makasiriko ya nini kama una upwiru hakuna aliekushika mkono mkagawe tu ni lifestyle yenu
👆
Hapo sasa umesema baba paroko,
 
[emoji1787][emoji1787]Mbona unahubiri Sana?

Jamiii yoyote ukimkosa mtu kama mimi hiyo jamii haijakamilika, hatuwezi kuhubiri ushetani tu yapo mema ya yanayompendeza Mungu, halafu hatuwezi kuwa na mitazamo inayofanana kwenye jamii huku hulka hutofautiana, malezi pia, elimu, uzoefu, tamaduni na imani zetu yote haya yanaifanya jamii kuwa ya tofauti kimitazamo, kazi ni moja tu mwili ni wako upwiru ni wako akili ni yako fanya hayo yote ukichanganganya na akili za kuambiwa jipe nafasi kufurahia maisha
 
Ngoja tusubiri. Mi nishawahi ona wanawake ambao waume zao wako mbali, na hawatawaliwi na genye, mume anarudi wanafanya Yao, then anaendelea na shughuli zake za kusafiri..

Wewe unajuaje kwamba hawatawaliwi na nyege? Au unadhani usipomwona mtu akifanya uhuni ndio inamaanisha hafanyi? Halooo una safari ndefu sana wewe.
Wewe unadhani hata mtoa mada kwenye maisha halisi hamna watu wanaomwona hatawaliwi na nyege?
 
😂😂😂 Nyege mtawalia, hatutakiwi kupenda wala kuonyesha mapenzi akyaakyaakyaaaa
 
Mwenye mke wake uje umchukue huku, anatugombanisha ma-bachelor!
 
Wewe ni LGBTQRS kwahyo usituchoshe
 
Wewe unajuaje kwamba hawatawaliwi na nyege? Au unadhani usipomwona mtu akifanya uhuni ndio inamaanisha hafanyi? Halooo una safari ndefu sana wewe.
Wewe unadhani hata mtoa mada kwenye maisha halisi hamna watu wanaomwona hatawaliwi na nyege?
Sawa. Wema unaitwa uovu na uovu unaitwa wema. Nyege zinaanza kwenye ubongo, kama mtu hawazi mambo hayo hawezi kuwa na nyege. Sex starts in the mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…