Mwanza: Nimekutana na handsome balaa


Wewe utapigwa shogaangu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora sheria mkononi ila sio ya kuunguza kisimi. Zaidi ya hayo, hakuna mbinu nyingine mnafanya?

Kama unaamini mume wako hakucheat hata kuunguza kisimi sio shida cha msingi tu usigawe utamu.

Ila unakuta mtu kila mara analoweka loweka halafu mimi nipate nyege nivumilie? Ndio nionekane wife materiel [emoji23][emoji23]ndio nionekana najiheshimu? Kujiheshimu ni pamoja na kuheshimu hisia zako. Nitembee njiani nacheka cheka kama mwehu kisa nyege zimenizidia na wakati kuna mkaka handsome nimemwelewa?

Ukitaka mwanamke wako awe mwaminifu kwako hakikisha na wewe ni mwaminifu. Na kama sio mwaminifu hakikisha hagundui kwamba wewe si mwaminifu. Akishakugundua unamsaliti umekwisha.
 
Nimekuelewa, ngoja nizidi kuwa mwaminifu maana nilikuwa nishakata Tama. Nikadhani wanawake wote mko hivi.
 
Analiwa na waume wa watu mkuu usimlaumu😂😂

Sidhani kama huyu baharia kaoa huyu. Anyway hata kama ni mume wa mtu kwa wasifu wake huu wa kimwonekano na alivyomdaka kirahisi huyu mke wa mwanaume mwenzetu, unafikiri atakuwa ana pisi ngapi?

Kwangu mimi ishu wala siyo kuchapiwa maana najua hiyo ni guaranteed. Hofu yangu kubwa ipo kwenye kuletewa magonjwa hasa ukizingatia kuwa wanawake system yao iko open na kwao kupata haya magonjwa ya zinaa ni rahisi sana. Nimejinyima na kujitunza huko nikikwepa mishale ya UKIMWI tangu ujanani huko halafu yeye ndiyo aje aniletee kiboya kisa tu eti kakutana na baharia handsome? Aisee gunia la mkaa litamhusu tu maana hakuna namna 😬😬😬🚮
 
leoooo😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…