Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanamke siyo kiumbe wa kumwamini kabisa 🤕
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ahh jamani
 
Hata mimi nikipata kitonga cha namna hii lazima nijiulize Mara mbili mbili
 
Yeah demu anapasha kiporo na ex wake, ni tabia tayari, na kama kuna mwanaume aliyemuoa, aisee namuonea huruma sana.
Dunia imeharibika kwa wanaume waaminifu.
Sasa hao wanaume wenyewe waaminifu wako wapi ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hakuna mwanaume asiyechepuka, wanawake wanatembea humo humo kwenye hizo kauli zenu, kwahiyo siku hizi hakuna mwanamke anayedanganyika kwamba eti mwanaume aliyenaye ni wake peke yake hayupo
 
wapo wasiochepuka, ni kwamba kuna gender bias kwamba mwanaume hawezi tulia kwenye mahusiano
 
Si kila ndani ya ghorofa kuna mapochopocho, mengine ni dona na nsansa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…