Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Bila picha huu Uzi ni chaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi, kanizidi manake mie nina cm 160
Hana kitambo, ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Halafu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
Mbona hizi sifa mi ninazo zote au tuseme yule handsome ndo Mimi umekimbia huku kunifungulia iziπŸ˜‚
 
Yaani Kwa kauli hii ndio inaonyesha shemeji unazo,maana wenye pesa ndio misemo yenu hii,,,maskini ndio utawasikia walisema sisi matajiri [emoji16][emoji16]
Hivi kaenda na yeye kwenye appointment?
Nashukuru kwa kunipa moyo huenda mambo yakawa mazuri kweli huko mbeleni, lakini as of now hali yangu kiuchumi ni mbaya. Mikeka leo ikichanika sijui itakuaje

Atakua ndio anajiandaa, maana naona yupo busy sana
 
Hapana usiamini kila kinachoandikwa jukwaani, mimi ni mwaminifu kwa yule anipendaye maana sijaona faida ya kuwa na backup.
 
Nyuzi za namna hii hazitaki seriousness, hapa wanaume lazima tuwe na hasira hasa ukiwa upo serious. Unaona kabisa wake zetu ndio wamekuwa chaka la wana, ila ukiingia na free mind ukichakata unaona well, that's life and shit happens.

After all, huyu kasema hana ndoa, msipige kelele sana wacheni atoe upwiru.
 
Yan wanawake bhn kumbe kupenda mnapenda Ila mnajibanaaaa hv kwann
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…