DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
😅😅ulitembea na chaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅ulitembea na chaki
Salam mbali tunashikwa mikono tu, hii mada imewaumiza sana tatizo mnaisoma huku mkiwafikiria wake zenu,Halafu humu mnajifanya wagumu kumbe mnaliwa kizembe kwa salamu tu huko mitaani 🤣
Bila picha huu Uzi ni chai😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣😂😂😂🤣Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
True asiruke stage na Sio unakuta mtu ana miaka 50 anaenda club anagongana na binti zake wa chuo.Kula ujana mama usije tuaibisha uzeeni kwa kufata vitoto.
sugulika kwa raha zako uzeeni twende zetu kanisani asubuhi mchana jioni usiku mkesha...
Yaani Kwa kauli hii ndio inaonyesha shemeji unazo,maana wenye pesa ndio misemo yenu hii,,,maskini ndio utawasikia walisema sisi matajiri 😁😁Mm sio mheshimiwa, ni kapuku tu nasukuma siku kwa kubet
Leo lamomy ana appointment mlimani city, yupo busy kweli
Mbona hizi sifa mi ninazo zote au tuseme yule handsome ndo Mimi umekimbia huku kunifungulia izi😂Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi, kanizidi manake mie nina cm 160
Hana kitambo, ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Halafu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
Nashukuru kwa kunipa moyo huenda mambo yakawa mazuri kweli huko mbeleni, lakini as of now hali yangu kiuchumi ni mbaya. Mikeka leo ikichanika sijui itakuajeYaani Kwa kauli hii ndio inaonyesha shemeji unazo,maana wenye pesa ndio misemo yenu hii,,,maskini ndio utawasikia walisema sisi matajiri [emoji16][emoji16]
Hivi kaenda na yeye kwenye appointment?
Hapana usiamini kila kinachoandikwa jukwaani, mimi ni mwaminifu kwa yule anipendaye maana sijaona faida ya kuwa na backup.Sasa hao wanaume wenyewe waaminifu wako wapi ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hakuna mwanaume asiyechepuka, wanawake wanatembea humo humo kwenye hizo kauli zenu, kwahiyo siku hizi hakuna mwanamke anayedanganyika kwamba eti mwanaume aliyenaye ni wake peke yake hayupo
Yan wanawake bhn kumbe kupenda mnapenda Ila mnajibanaaaa hv kwannHabari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya[emoji108].
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.[emoji1787]
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Haijalishi, ukweli ni kwamba unamvunjia heshima mumeoHapana yani kule kujiamini kwake kama mwanaume kumefanya nimpende ghafla
Yaani alivyoniita kama demu wake vile, halafu alikuwa very calm
Kato***e bhn usiskize ya watu[emoji1787][emoji1787]Sasa si Niko huru.
Tatizo liko wapi?