Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Halafu we Mpambe sana unatamani sana ex wangu aone🤣🤣🤣🤣ila usisahau nimeondoka mwili tu kule moyo kabaki nao ohooooo
Km unasonga mbele songa!!
Acha kugeuka nyuma km mke wa Ruthu utageuka jiwe la chumvi!! Oooh! Usije kusema sijakwambia 😂😂😂
 
Nataka kujua kama mwanaume amekuwa handsome hadi kwenye mgegedo au vipi.

Maana wanasema mahendsome kitandani wanakuwaga wachovu tofauti na sura kazi.
Usiwasikilize hao, usiniambie hujawahi kukandwa na handsome wawili watatu mpaka usikie wanasema? Huyo bado hajarudi humu kalala hoi fofofo, utakuwa umeshapata jibu.
 
Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
hakuna mwanamke anaweza kujiexpress namna hii Tanzania. si ukute wewe lijamaa ni liupinde. shindwa shetani nyie.
 
Nataka kujua kama mwanaume amekuwa handsome hadi kwenye mgegedo au vipi.

Maana wanasema mahendsome kitandani wanakuwaga wachovu tofauti na sura kazi.
Maneno tu hayo mnakosa mengi
 
🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
Mama ukitaka kufanya jambo haswa linalohusu kufanya mapenzi na mwanaume ambaye sio mume wako usiwaambie wanaume, tutakutukana tuu na kukuita malaya, kwasababu tuna wivu.
Tunataka hizo bahati zije kwetu na sio mtu mwingine.

We ulitaka tusemaje? "Nenda mama mkatiane inaonekana mnapendana" hapana hatuwez ku-support hio issue, labda shoga ndo anaweza kuku-support hivo.

Mwanaume mzima anaweza akaku support, ila kinafiki moyoni inamuuma na anakuona malaya.
Na katika hayo matusi uliyotukanwa leo kuna kitu cha kujifunza, wanaume hatupendi wanawake cheap, unavozidi kuwa mgumu kupatikana ndio thamani yako inavo ongezeka kwetu na ndivo jinsi unavozidi kutuchanganya.
Kwaio hata kama umempenda huyo jamaa, hakikisha unamzungusha kabla hujampa kipochi manyoya hicho, au nayeye atakuona kama malaya wengine aliowaomba namba siku hiohio aliyokuomba ww na akawagonga kesho yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Embu niwacheeeee kwanza
Kujikoki kote kule nishaandaa na drip afu boss michosho
Nilivyoona jana usiku anaanza kutukana Mara asema nijenge, nikajua tu hakuna mtu hapo[emoji23]
 
Tushamaliza vya mchana🤣🤣
Tunajiandaa kwenda malaika👌
 

Attachments

  • IMG_20231017_195810_306.jpg
    IMG_20231017_195810_306.jpg
    547.5 KB · Views: 5
[emoji23][emoji23][emoji23] Hana pesa kibaka tu huyo ananichomolea vichenchi vyangu anaenda kubetia
Mikeka yote chaliii, sijui itakuaje. Siku imeshakua ndefu hii

Ni bora niwe winga kuliko hii kazi ya kubet[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom