Km unasonga mbele songa!!Halafu we Mpambe sana unatamani sana ex wangu aone🤣🤣🤣🤣ila usisahau nimeondoka mwili tu kule moyo kabaki nao ohooooo
Kwahiyo kila mwanaume atakayekufanyia kama alivyofanya msukuma anakumega fresh siyo?Hapana yani kule kujiamini kwake kama mwanaume kumefanya nimpende ghafla
Yaani alivyoniita kama demu wake vile, halafu alikuwa very calm
Hatuli uzuri wao sie 😂😂😂Mzuri my foot!
Hapa umemaliza kaka .uzi ufungweThe simple way to sum your character, 'the cheapest whore'.
Hahaa siku akidundwa ndiyo ataelewaUnajielewa sana shida huo ushauri kaziba masikio kashakuambia ana upwiru [emoji23]
Ulimola mkuu?Karibu Usukumani mkuu.
Acha utani mkuu,sio kila sehemu unaweza kusongasonga mbele ghafla tu zingine ngumu,kila ulipiga hatua Moja mbele unapiga mbili nyuma 🤦🤦🤦Km unasonga mbele songa!!
Acha kugeuka nyuma km mke wa Ruthu utageuka jiwe la chumvi!! Oooh! Usije kusema sijakwambia 😂😂😂
Mwenzio alishasema kaenda hotel kukandwa we wataka mrejesho wa nini, size ya mjegejo au nguvu za kiume.
Baba mkwe kampa ndoo akachote maji hana pakutokea
Usiwasikilize hao, usiniambie hujawahi kukandwa na handsome wawili watatu mpaka usikie wanasema? Huyo bado hajarudi humu kalala hoi fofofo, utakuwa umeshapata jibu.Nataka kujua kama mwanaume amekuwa handsome hadi kwenye mgegedo au vipi.
Maana wanasema mahendsome kitandani wanakuwaga wachovu tofauti na sura kazi.
hakuna mwanamke anaweza kujiexpress namna hii Tanzania. si ukute wewe lijamaa ni liupinde. shindwa shetani nyie.Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Maneno tu hayo mnakosa mengiNataka kujua kama mwanaume amekuwa handsome hadi kwenye mgegedo au vipi.
Maana wanasema mahendsome kitandani wanakuwaga wachovu tofauti na sura kazi.
Mama ukitaka kufanya jambo haswa linalohusu kufanya mapenzi na mwanaume ambaye sio mume wako usiwaambie wanaume, tutakutukana tuu na kukuita malaya, kwasababu tuna wivu.🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Boss njaa hana pesa yoyote, mbwembwe tyuuu!!
Nilivyoona jana usiku anaanza kutukana Mara asema nijenge, nikajua tu hakuna mtu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Embu niwacheeeee kwanza
Kujikoki kote kule nishaandaa na drip afu boss michosho
Huyo glenn alikua na joanah? Daah nilikua sijui hiiEee eti mwaya sisy Joannah kaachika [emoji26][emoji26][emoji26]
Mikeka yote chaliii, sijui itakuaje. Siku imeshakua ndefu hii[emoji23][emoji23][emoji23] Hana pesa kibaka tu huyo ananichomolea vichenchi vyangu anaenda kubetia
Ila yamekukuta dada 😂😂😂Acha utani mkuu,sio kila sehemu unaweza kusongasonga mbele ghafla tu zingine ngumu,kila ulipiga hatua Moja mbele unapiga mbili nyuma 🤦🤦🤦