Niliposoma key word ya andiko lako kwenye heading "Handsome" nikafuatilia story nzima ili nigundue alikuwa na kitu gani huyo kiajana mpaka kuitwa handsome wa Mwanza. Nafikili tungemuita huyo kijana "courageous" au "kijana mwenye uthubutu" kinga'gang'azi etc na si kumuita handsome kulingana na mtiririko wa kilichotokea kwako. Mh! au umetuficha mwonekano wake...???