Mwanza: Nimekutana na handsome balaa


Kwa wasukuma hii nikawaida mkuu hayupo msukuma anayejinyenyekeza mbele ya mwanamke wala sio dharau

Mfano mcheki hayat magufuri unavyona vile akitaka kutongoza atanza mambo “sahani dada yangu naomba nizungumze na wewe!”

Inshot hakuna msukuma wa ivo labda kama huwajui.
 
N A K A Z I A [emoji419][emoji375]
 
Hapana alinipata off guard ,na hakunipa nafasi ya kujidefence,yani nikama alikuwa ananiamrisha, kwahiyo nilikosa pozi
 
nimesismka😆
 
Achana nae hakuna faida zaidi ya kujichumia dhambi tu, mwanaume wa kweli ni yeye aliyethubutu kukuoa
 
Achana nae hakuna faida zaidi ya kujichumia dhambi tu, mwanaume wa kweli ni yeye aliyethubutu kukuoa
Kwani amesema kuwa ana mume, mim nimesoma kuwa ana baba watpto wake swala la mume labda aseme tena. Hata hivyo, chuma kikipigwa na moto kinayeyuka tu mkuu.
 
Umejuaje ni mtamu Kwa bed? yaaanii kuwa handsome ndo Kawa mtamu Kwa bed....
 
Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi,kanizid manake mie nina cm 160
Hana kitambo,ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Afu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
Hizi sifa kwako ni za mutu handsome inapendeza... Vipi mume wako hana hizi sifa?
 
Kweli maisha mafupi, kama yeye Yuko ok mume wake kucheat sawa, ila kama hataki, basi ana matatizo.
Familia zina siri nyingi, ukweli ni kwamba mwanamke aliyeridhishwa ndani ni ngumu kutoka nje ya ndoa.

Kama nimemuelewa vizuri...mumewe yupo Dar...hujui ni hali gani ya ndoa anapitia, huenda hata amesalitiwa mara kadhaa hii siri ni yake.

Sihalalishi kuchepuka but mwanadamu hufikia point flani ya kuvunjika moyo..
Ironbutterfly yeye ana majibu anapitia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…