Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Alikuita kwa kujiamini coz alishakuona kua wewe ni cheap na unakamatika kirahisi tu,ungekua umejiweka kiheshima asingekuita hivyo,unaitwa na mtu yupo bandani anakula ugali na mboga kisha unajipeleka kama Mbwa kaona chatu,

Eti nikamkatalia kumpa namba akachukua simu akajibipu!!

Kwa wasukuma hii nikawaida mkuu hayupo msukuma anayejinyenyekeza mbele ya mwanamke wala sio dharau

Mfano mcheki hayat magufuri unavyona vile akitaka kutongoza atanza mambo “sahani dada yangu naomba nizungumze na wewe!”

Inshot hakuna msukuma wa ivo labda kama huwajui.
 
Kama umeolewa hapo ulikosea,ungezaa tu halafu uishi singosingo yaani uwe singo madha.Ungeinjoi sana,full kupishanisha madogo,mababa,wazee n.k nyumbani kwako.Wadada au wamama wa hivi,wanafaa sana,ile mtumishi katoka zake kijijini huko,badala akalale loji,anakuja kwako,anakula wewe na msosi,asubuhi anaenda kwenye mishe zilizomleta mjini,akimaliza anasepa.Wanawake wa hivi mnafaa sana,hata watoto wa kiume wanaobalehe inafaa wawe wanawatafuta wanawake kama nyie,wanajifunza kupeleka moto,halafu wanaenda kuoa wanawake wa aina nyingine,yaani wa ndoa.
N A K A Z I A [emoji419][emoji375]
 
Mazungumzo:
Mkaka Shababi: we sista njoo
Chuma Kipepeo: haya
Mkaka Shababi: waitwa nani
Chuma Kipepeo: siongeagi na waume za watu
Mkaka Shababi: mimi bachela
Chuma Kipepeo: mimi siko singo
Mkaka Shababi: waenda wapi
Chuma Kipepeo: kuchukua mtoto shule
Mkaka Shababi: ok, nipe namba yako
Chuma Kipepeo: sitoi namba kwa stranger
Mkaka Shababi anachukua simu ya Chuma Kipepeo anaingiza namba zake na kujibipu,
Mkaka Shababi: baada ya lisaa nitakucheki mchumba
Kipepeo Chuma: hehehehe haya

Hata wale wa Uwanja wa Fisi wanaringa ringa kidogo [emoji849]
Hapana alinipata off guard ,na hakunipa nafasi ya kujidefence,yani nikama alikuwa ananiamrisha, kwahiyo nilikosa pozi
 
Habari za asubuh Wana ukumbi

Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)

Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌

Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.

Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣

Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed

Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
nimesismka😆
 
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya[emoji108]

Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.

Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol[emoji1787]

Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed

Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Achana nae hakuna faida zaidi ya kujichumia dhambi tu, mwanaume wa kweli ni yeye aliyethubutu kukuoa
 
Kwani amesema kuwa ana mume, mim nimesoma kuwa ana baba watpto wake swala la mume labda aseme tena. Hata hivyo, chuma kikipigwa na moto kinayeyuka tu mkuu.
 
Habari za asubuh Wana ukumbi

Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)

Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌

Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.

Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣

Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed

Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Umejuaje ni mtamu Kwa bed? yaaanii kuwa handsome ndo Kawa mtamu Kwa bed....
 
Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi,kanizid manake mie nina cm 160
Hana kitambo,ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Afu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
Hizi sifa kwako ni za mutu handsome inapendeza... Vipi mume wako hana hizi sifa?
 
Kweli maisha mafupi, kama yeye Yuko ok mume wake kucheat sawa, ila kama hataki, basi ana matatizo.
Familia zina siri nyingi, ukweli ni kwamba mwanamke aliyeridhishwa ndani ni ngumu kutoka nje ya ndoa.

Kama nimemuelewa vizuri...mumewe yupo Dar...hujui ni hali gani ya ndoa anapitia, huenda hata amesalitiwa mara kadhaa hii siri ni yake.

Sihalalishi kuchepuka but mwanadamu hufikia point flani ya kuvunjika moyo..
Ironbutterfly yeye ana majibu anapitia nini
 
Back
Top Bottom