Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya[emoji108].

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.[emoji1787]

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Sema watu wenye maokoto na sura za mama zao, huwa wanatuchululia mademu zetu kwa lugha za kibabe sana.
 
Mnakuwaga washauri wazuri mada aina hii ikiletwa na ke ila ingekuwa me[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mimi siku zote napinga sana hizi harakati za upotoshaji hata wakina drake mimi naona bado tunayo nafasi yakusema ndoa ni sehemu sahihi, ndoa ina utukufu, ndoa ni mpango wa Mungu, ndoa sio hatua ndogo kimitazamo ya kawaida bali ni kubwa sana na mnatakiwa mjikane nafsi zenu mkitaka ndoa, maana shetani anapinga ndoa na anawachapa wanandoa sana msipoomba mtaingia majaribuni sana... Mkinifuata mnatakiwa mjikane nafsi zenu kauli nzito sana hiyo ila inabebwa kwa wepesi
 
Umekamia Shostii.....kemea upwiru huo🤣🤣🤣
Ooops nimesahau upwiru hautoki kwa maombi, hapo hadi ukunwe ndo akili zitarudi🤣🤣
Upwiru ni mindset tu, hakuna cha kukunwa wala nini. Asingekuwa na mindset hiyo, asingekuwa na upwiru. Kiufupi ile physical expression ya mwanaume ndo ilitengeneza signal kwenye nerves zake zikaamsha homoni zake. Ila hapo bado, ni hamu tu, akienda 6 kwa 6 kwenye foreplay ndo sasa upwiru wenyewe ndo inatengenezwa.
 
Yes soon itajulikana kuanzia ukweni mpaka Dar Es Salaam, although ana sababu za msingi kwa upande wake, hatasikilizwa.
Itajulikana wapi?
Hapa nimetoka na watoto nimewaleta salon wananyoa wakae fresh,then ntawarudisha kistyle
Namtegea baba mkwe atoke,nimwage dada wa kazi nichoropoke kidogo
Mama mkwe kasafiri yuko mbeya,yule ndo huwa ananibana akiwepo👌
 
Itajulikana wapi?
Hapa nimetoka na watoto nimewaleta salon wananyoa wakae fresh,then ntawarudisha kistyle
Namtegea baba mkwe atoke,nimwage dada wa kazi nichoropoke kidogo
Mama mkwe kasafiri yuko mbeya,yule ndo huwa ananibana akiwepo👌
Ukimaliza niquote kabisa nijue iliendaje.
 
Itajulikana wapi?
Hapa nimetoka na watoto nimewaleta salon wananyoa wakae fresh,then ntawarudisha kistyle
Namtegea baba mkwe atoke,nimwage dada wa kazi nichoropoke kidogo
Mama mkwe kasafiri yuko mbeya,yule ndo huwa ananibana akiwepo👌
Unawaaga unaenda wapi?
 
Itajulikana wapi?
Hapa nimetoka na watoto nimewaleta salon wananyoa wakae fresh,then ntawarudisha kistyle
Namtegea baba mkwe atoke,nimwage dada wa kazi nichoropoke kidogo
Mama mkwe kasafiri yuko mbeya,yule ndo huwa ananibana akiwepo[emoji108]
Inatakiwa hii mission ya kuliwa ifanikiwe ili ujifunze, tunapenda kujifunza kwa vitendo ili akili ijitengeneze vizuri... Kutubu baadae
 
Back
Top Bottom