Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Kambotwe wewe ...na ulipie tangazo lako hapa.... Mke watu Malaya malaya....ungeweka na namba kabisa watu wakubanjue.....
 
Kambotwe wewe ...na ulipoe tangazo lako hapa.... Mke watu Malaya malaya
6. HUENDA ANACHANGAMSHA JUKWAA NA WEEKEND IISHE VYEMA
Mwisho WA siku wanazikimbiaga akaunti zao Kwa ujinga wao....
 
Am sure hata Hilo ghorofa halipo,fuatilia comment zake anapenda sana kujisema unajua sie matajiri this,matajiri that....kimsingi ukisikia hivyo hamna kitu hapo
Naona haujaelewa, usichukulie maneno kama yalivyo.
 
Aah dogo kung'ang'ania ulipoachwa ni kujitakia kisukari na pressure...Niko zangu Pwezapweza naupa pole moyo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dada mbona hujanishtua twende wote?
Kabisa kweli epuka visukari mwaya, kwanza bado unalipa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na akijirudisha hamna kumkubali ateseke akufwee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂Tushamaliza kula mbuzii Sasa tunaelekea hotel
 
Attachments

  • IMG_20231021_111832_896.jpg
    IMG_20231021_111832_896.jpg
    1.2 MB · Views: 5
Dada mbona hujanishtua twende wote?
Kabisa kweli epuka visukari mwaya, kwanza bado unalipa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na akijirudisha hamna kumkubali ateseke akufwee [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua upo na mheshimiwa!maana nyie waheshimiwa weekend kama hizi mtakuwa mbugani,nikaona nikanywe zangu Pearl Bay moyo upoze machungu
 
Back
Top Bottom