Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

financial services Tukiwaambia nyie hamna mdhamana muwe mnaelewa. Huyo mwenzio bila aibu kachagua kunyengwa bila uoga. Ana sneak out chap akirudi mkoani kwa mumewe atajikausha kau kau.
Huyu hana ndoa mkuu, I can bet wallet yote huko crdb🤣🤣
Najua vidume tunaumia coz hii ndio trend ya wanawake waliopo kwa ndoa, ila huyu hajaolewa, hilo nina uhakika 100%.
 
Yaani Kwa kauli hii ndio inaonyesha shemeji unazo,maana wenye pesa ndio misemo yenu hii,,,maskini ndio utawasikia walisema sisi matajiri 😁😁
Hivi kaenda na yeye kwenye appointment?
Mimi pia naishi kwa kubeti tu sema Mungu anasaidia 🤣 Sportpesa oyee
 
Back
Top Bottom