ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huyu hana ndoa mkuu, I can bet wallet yote huko crdb🤣🤣financial services Tukiwaambia nyie hamna mdhamana muwe mnaelewa. Huyo mwenzio bila aibu kachagua kunyengwa bila uoga. Ana sneak out chap akirudi mkoani kwa mumewe atajikausha kau kau.
Najua vidume tunaumia coz hii ndio trend ya wanawake waliopo kwa ndoa, ila huyu hajaolewa, hilo nina uhakika 100%.