Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Countrywide huyu Lamomy ni mfogo wangu, sio tu tunachat pm bali hata simu tunapigiana, hajakwambia kuwa mimi ni ahemeji yako?
[emoji23][emoji23][emoji23]huo ni uongo hakuna kitu cha lamomy sijui hata pm ilitokea tu mara moja kwa sababu maalum. Alafu leo weekend, si unajua kuna vitu vipo kichwani? [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usiwe mnyonge, ww tafuta tu mbona range zinapatikana. Kama vipi njoo tubet
Tatizo sio range budda, siwezi kuhonga kabla ya ndoa, niliwahi kuhonga nyimba 2 maumivu niliyopata usipime
 
Back
Top Bottom