Asante kwa ushauriSaa 8 Island make sure hutovaa cha kukubana kikunyime amani.
Mle ndani kuna kuzurula kwa miguu mpaka unakoma,, ni tofauti na Mbuga za Arusha mnazurulia kwenye magari.
Have a Fantastic Trip.
Mwanza is Beautiful, I was there last december.
Na mwaka nikaupokelea Malaika Beach,, ilikuwa bombastic 🔥🔥
EbhanaaaIna mwenyewe wa kuichakazaa [emoji23]
Mkuu mwanza kutamu sana ila usiende mfuko ukiwa toboNimekutamani ghafla aisee!I wish ningekuwa na wewe kwenye safari nipaone mwanza na kufurahia mandhari ya ziwa Victoria,nyumba za milimani ,chakula kitamu na lafudhi ya getegete!!
Usiache kufika utuonee Hilo daraja kama linaendelea kujengwa.
Asante kwa ushauri
Malaika beach ni target pia...nadhan mwaka mpya nitaupokelea hapo. Sina live band ??
YesAsante kwa ushauri
Malaika beach ni target pia...nadhan mwaka mpya nitaupokelea hapo. Sina live band ??