Mwanza one time for new year

Mwanza one time for new year

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023.
Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha.

Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥.

This time around nitatamani kuona vivutio vya Kitalii vilivyopo mwanza ikiwemo kuvuka hadi kisiwa cha saa 8.

Maoni ushauri unakaribishwa....View attachment 2463001
20221230_061207.jpg
20221230_061207.jpg
20221230_061207.jpg
20221230_061207.jpg
20230103_115555.jpg
20230103_135130.jpg
 
Saa 8 Island make sure hutovaa cha kukubana kikunyime amani.

Mle ndani kuna kuzurula kwa miguu mpaka unakoma,, ni tofauti na Mbuga za Arusha mnazurulia kwenye magari.

Have a Fantastic Trip.
Mwanza is Beautiful, I was there last december.
Na mwaka nikaupokelea Malaika Beach,, ilikuwa bombastic 🔥🔥
 
Nimekutamani ghafla aisee!I wish ningekuwa na wewe kwenye safari nipaone mwanza na kufurahia mandhari ya ziwa Victoria,nyumba za milimani ,chakula kitamu na lafudhi ya getegete!!
Usiache kufika utuonee Hilo daraja kama linaendelea kujengwa.
 
Asante kwa ushauri
Malaika beach ni target pia...nadhan mwaka mpya nitaupokelea hapo. Sina live band ??
 
Mkuu mwanza kutamu sana ila usiende mfuko ukiwa tobo
Na allys wametoa VIP yani very comfy 120000 tu one way
 
Asante kwa ushauri
Malaika beach ni target pia...nadhan mwaka mpya nitaupokelea hapo. Sina live band ??

Usiache kwenda Kwa tunza , tupige mbili tatu
 
Back
Top Bottom