Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023.
Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha.
Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥.
This time around nitatamani kuona vivutio vya Kitalii vilivyopo mwanza ikiwemo kuvuka hadi kisiwa cha saa 8.
Maoni ushauri unakaribishwa....View attachment 2463001