Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.

 
Walishindwa nini kutoa taarifa ili waruhusiwe! Mambo mengine bwana
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni mjinga.

Tangu lini kufanya mikutano au vikao vya ndani vikahitaji kutoa taarifa Polisi?

Angeweka na kifungu cha sheria kinachotamka hicho anachokitaka. Polisi hana mamlaka ya kutamka kuwa mkutano au kikao fulani ni batili. Kinachoweza kutamka hivyo ni sheria. Aweke sheria ambayo inabatilisha kikao cha ndani ambacho polisi hawajapewa taarifa.

Hawa ndiyo wanaopewa nafasi lakini uwezo wao ni mdogo kuliko nafasi wanazopewa.

Polisi lama hawa wasiojua sheria na mipaka ya mamlaka yao, wanatakiwa kuondolea mara moja.
 
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
View attachment 1856405
Kwanza hayo makongamano uchwara yanaingiza pesa kiasi gani kama si kutaka kuleta Shari na kueneza corona? Piga chini ujinga kama huo
 
Chadema hawafanyi kikao cha chama ila wanafanya kongamano na wanaalika watu mbalimbali...makongamano yenyewe ndo hayo ambayo wakina mdude wanatukana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…