Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19
Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."
Hivi mikusanyiko isiyo ya lazima ni ipi ?Mimi na Magufuli ni kitu kimoja - Samia Suluhu Hassan.
Haya, wale wazee wa kusifu kwamba "mama anaupiga mwingi sana na ni muumini safi....." nadhani mpo.
Hivi mikusanyiko isiyo ya lazima ni ipi ?