Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19
Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."