Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Ingia ROAD ukinukishe kamanda 🤣🤣Are you stupid? Hii chio sio Mali ya ccm chama chakavu Tunataka katiba mpya na tume huru.
Ingia ROAD ukinukishe kamanda 🤣🤣Are you stupid? Hii chio sio Mali ya ccm chama chakavu Tunataka katiba mpya na tume huru.
Siamini kuwa anachukiwa pengine useme hapendwi....Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hii ndio changamoto kubwa katika hili taifa.CCM haihitaji Kura za yeyote ili ishinde uchaguzi wowote!! Amka Mkuu.
Sijui itatumika njia gani kuvuka hiki kiunzi.Hii ndio changamoto kubwa katika hili taifa.
Tatizo Chadema yenyewe haijitambui, bado inaendelea kupambana na legacy ya JPM badala ya kuangalia upepo wa kisiasa ukoje waendane nao. Kwa mfano hii ishu wa machinga ilikuwa bonge la dili kwao kuwatetea hawa wanyonge, kitu cha ajabu nao wanaunga mkono uonevu unaoendelea.Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Yaani chadema ipate vitu Kanda ya ziwa???????? Bado wana Kanda ya ziwa wanaikumbuka chadema na viongozi wake walimdhalilisha Hayati Magufuli kwa mgongo wa eti wachaga aliwatesa.Mbowe aliongoza mashambulizi hayo clip zipo.Kwa herichademaHapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
CCM inaondoka mchana kweupe .tatizo upinzani hatuna ..yaan hakuna wakati mzuri Kama huu ambapo serikali ya ccm imepoteza mvuto na hata mwelekeo..sijaona popote utawala huu unapendwa labda post za wanaccm jamii forum wakijiaminisha ccm Ina nguvu..wapinzania jiimarishe mapema..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile
Chadema wenyewe kwa sasa ni CCM, wana msemo wao wa kuunga juhudi mpira unapigwa mwingi.Legacy ya kupambana hawana tenaKwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Rubbish!Hapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
Wazee idadi yao imepungua.Kwahiyo Kanda ya ziwa ndio usukumani ?
Mimi kwetu kanda ya ziwa mlna wapa hizo siasa za umagufuli sizioni.
Ninachojua kanda ya ziwa, wapiga kura wengi hasa wanawake na wazee ni CCM na watampigia kura mwanaCCM yeyote.
Vijana ni mihemko tu. Hakuna wapiga kura wa uhakika hapo.Wazee idadi yao imepungua.
Hatutaki siasa za ukanda na ukabila. Wakati jini wenu yupo madarakani wasukuma mlijiona very specialNawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Mkuu wangu Nyboma 🤣🤣Siempre siempre huyu Jumbe Brown ana mkwara si wa nchi hii hahhahha
🤣🤣Musiba ana afadhali
Ukizitafuta sababu za kwanini mh.Rais SSH anachukiwa huko usemako hakika HUZIONI.....Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!