Kumbe chadema mnajua mlishindwa 2020. ..huku kwenye propaganda zetu mbaya mnajidai mlishinda mkaporwa. Pambafu zenu.Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
👍Nadhani anaota,nauliza tuu wewe unaweza chagua chadema Ili uvumbue nini hasa?
Wewe ni mgeni hapa Tanzania.Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Bado anaotaCCM haihitaji Kura za yeyote ili ishinde uchaguzi wowote!! Amka Mkuu.
Siyo juu ya chadema, ni juu ya wananchi. Ni kweli hiyo ndo kula yao lakini wanansaidia kuifanya serikali isibweteke. Chadema wanaweza kuhamia ccm na kwenda kuendeleza maisha yao ya kisiasa kule.Kidogo naona ya mwaka 2010 yatajirudia 2025 ikiwa chadema wataamua kuipa uhalali CCM wa kuendelea kutawala milele
Hahah! Sina mashaka na utendaji wake Mh. Rais Samiah kila siku anazidi kujichukulia point tatu muhimu, naona kamwaga ajira za kutosha kwa vijana, huku nilipo wanamsema vizuri pia naona keshazoea kile kiti vizuri kabisa.Mkuu wangu Nyboma 🤣🤣
Leo nilikuwa busy na watani zetu Simba....
Vipi Dom huko Komredi?
Niko kijiwe cha kahawa muda huu hapa ni stori tu za uwezo mkubwa alionao mh.Rais SSH....kaka mama huyu anapendwa sana mitaani!
Hilo nalo neno Ina maana vyama vya akina Shibuda na Mahona vitakuwa lulu maana chadema wamejinasi kwa kupambana na Hayati mwana Kanda pendwa huku Hayati hawezi kujitetea.Chadrma hivyo sanaHii post ni mahususi kwa ajili ya kupima upepo wa kisiasa wa CCM.
Ninahisi hadi October 2025, Tanzania kutakuwa na mabadiliko makubwa sana ikiwemo uwepo wa chama kipya tawala kinachotokana na manguli wa CCM.
Mungu ni Mwema.