Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

hata wewe kuzurula na kula raha unapenda sema tu hela ndio huna, muacheni mkuu wa nchi avinjarai
Wanajaribu kutoa stress. Bahati mbaya ni kwamba stress zinazotolewa kwa chuki na hila huwa haziondoki bali zinazidi......mama huyoooooo; anaenda!
 
unamuonea hadi wivu President? utakufa bure relax
Vipi tena mikusanyiko hiyo, inayoeneza Corona Mwanza imeruhusiwa.?!
au Corona imeisha tayari😄😄

MaCCM wote akili zenu hazina akili.
 
Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07, 2021 mpaka kesho Septemba 08, 2021.

Mgeni rasmi kwenye tamasha hili ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan. Wote mnakaribishwa.

#Turithishe utamaduni wetu.
#Tudumishe utamaduni wetu.
#Amani na Umoja ni tunu zetu.

View attachment 1927414
Raisi zuzu wa kuwaza matamasha wakati nchi I inazidi kuibiwa na kutafunwa na mafisadi ,
Toka magu kufa ufisadi umerudi kwa kasi
 
hata wewe kuzurula na kula raha unapenda sema tu hela ndio huna, muacheni mkuu wa nchi avinjarai
Wanajaribu kutoa stress. Bahati mbaya ni kwamba stress zinazotolewa kwa chuki na hila huwa haziondoki bali zinazidi.
 
Vipi tena mikusanyiko hiyo, inayoeneza Corona Mwanza imeruhusiwa.?!
au Corona imeisha tayari😄😄

MaCCM wote akili zenu hazina akili.
ambaye hajachanjwa asisogee kwenye mikusanyiko
 
1631006342516.png
👊 😅✌️💥
 
Back
Top Bottom