A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga majengo ya mortuary Lakini imesahau kuajiri watumishi wake, naomba mtusaidie na sisi tuweze kupata kazi tunateseka Sana 🙏😭😭
Naomba mpaze sauti yetu tunaumia sana kuona watu ambao hawajasoma Course ya Mortuary wapo kwenye vitengo, ambao tumesoma tunateseka mtaani 😭😭😭 Naomba mtusaidie jamani miaka inakimbia na siku zinaenda.
Mim nimeamua kuwasilisha Kero hii kwa niyaba ya wote. Asanteni sana namungu awabariki 🙏🙏🙏 Mtukumbuke jamani tupo wengi natunaumia.