Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

Mm nilivaa boksa na vesti ya katiba mpya mbona sijaona mtu akinisumbua?
 
Hizo ni harakati za CHADEMA kwasasa kwahiyo usilete ujuaji kwenye masuala ya usalama
T-shirt za makomandoo wa Chadema zina silaha za kila aina ndani yake, mbona waliingia nazo uwanjani hata hivyo bomu moja tu ndilo lililolipuka kwenye lango la Simba likaua.
 
Labda wanataka katiba mpya ya Makolo ama ya Chadema ili wamwondoe Mwamedi ama Mbowe
 
tukisema hawa watu ni vichaa mnasema hatujasoma[emoji16][emoji16][emoji16]

sasa katiba mpya na mpira vina uhusiano gani??
Una ujinga uliopitiliza. Kwani maandishi kwenye T shirt yana uhusiano gani na mpira huo?
 
N


Nyie Mataga ,ndiyo tatizo lenu kufikili kwa kututumia matako yenu,

Hapa mlikuwa hamjazaliwa?
Sasa mkuu unadhani huyo mwenye kutumia matako kufikiri atafikiri la maana zaidi ya kutoa uchafu tuu?
Hayo majitu yaache tuu, yana laana
 
POLICCM hao

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…