Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mm nilivaa boksa na vesti ya katiba mpya mbona sijaona mtu akinisumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T-shirt za makomandoo wa Chadema zina silaha za kila aina ndani yake, mbona waliingia nazo uwanjani hata hivyo bomu moja tu ndilo lililolipuka kwenye lango la Simba likaua.Hizo ni harakati za CHADEMA kwasasa kwahiyo usilete ujuaji kwenye masuala ya usalama
namna bora ya kuonekana umeerevuka ni kutokuwa kama mtu wa ccm.Lakini pia kuna watu wa ccm uwa wanavaa hata kama sio sehemu ya mambo ya chama
chadema ni wezi ndiyo maana kila wanapowaona lazima wawe makiniPolisi wanaiogopa sana Chadema
Una ujinga uliopitiliza. Kwani maandishi kwenye T shirt yana uhusiano gani na mpira huo?tukisema hawa watu ni vichaa mnasema hatujasoma[emoji16][emoji16][emoji16]
sasa katiba mpya na mpira vina uhusiano gani??
Sasa mkuu unadhani huyo mwenye kutumia matako kufikiri atafikiri la maana zaidi ya kutoa uchafu tuu?N
Nyie Mataga ,ndiyo tatizo lenu kufikili kwa kututumia matako yenu,
Hapa mlikuwa hamjazaliwa?
POLICCM haoPolisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.