Okay Sawa, usitumie nguvu nyingi sana..
Hebu tunaomba weka screenshot ya TCU yenye kuonesha minimum entry ya kusoma digrii ya udaktari.
Hapo ndo tutajua kama je mwenye Div 2 anaruhusiwa au haruhusiwi
F = maA toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
Need one more assumption: impact force depends on how quickly the car stops (impact duration or stopping distance). I'll compute force for two common assumptions—a) stopping time, b) stopping distance—then you can pick which fits.A toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
Faragha za watu hizo mkuu ila wapo wengi sana mtu ana division 2 wanachukua sijajua wanafanyaje ad anadahiliwa
Huo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZ
Wewe jamaa nimegundua wewe sio mtu wa afya na hujui chochote kile unapayuka tuu kutokana na uliyosikia mtandaoniHuo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZ
Mwambie huyo akili unde akurudishie hela yakoNeed one more assumption: impact force depends on how quickly the car stops (impact duration or stopping distance). I'll compute force for two common assumptions—a) stopping time, b) stopping distance—then you can pick which fits.
Given: m = 1.5 kg, initial speed before impact v = 30 m/s.
1) If you assume the car stops in time Δt (s):
- deceleration a = −v / Δt = −30 / Δt (m/s^2)
- impact force magnitude F = m * |a| = m * 30 / Δt = (1.5 * 30) / Δt = 45 / Δt (N)
Examples:
- Δt = 0.01 s → F = 45 / 0.01 = 4500 N
- Δt = 0.001 s → F = 45 / 0.001 = 45,000 N
2) If you assume the car stops over distance d (m) with uniform deceleration:
- a = −v^2 / (2d) = −(30^2) / (2d) = −900 / (2d) = −450 / d (m/s^2)
- F = m * |a| = 1.5 * 450 / d = 675 / d (N)
Examples:
- d = 0.1 m → F = 675 / 0.1 = 6,750 N
- d = 0.02 m → F = 675 / 0.02 = 33,750 N
If you provide a stopping time or distance (or coefficient of restitution for a bounce), I’ll give the numeric impact force.
Mungu alininyima ubongo wa kuelewa haya madude.Need one more assumption: impact force depends on how quickly the car stops (impact duration or stopping distance). I'll compute force for two common assumptions—a) stopping time, b) stopping distance—then you can pick which fits.
Given: m = 1.5 kg, initial speed before impact v = 30 m/s.
1) If you assume the car stops in time Δt (s):
- deceleration a = −v / Δt = −30 / Δt (m/s^2)
- impact force magnitude F = m * |a| = m * 30 / Δt = (1.5 * 30) / Δt = 45 / Δt (N)
Examples:
- Δt = 0.01 s → F = 45 / 0.01 = 4500 N
- Δt = 0.001 s → F = 45 / 0.001 = 45,000 N
2) If you assume the car stops over distance d (m) with uniform deceleration:
- a = −v^2 / (2d) = −(30^2) / (2d) = −900 / (2d) = −450 / d (m/s^2)
- F = m * |a| = 1.5 * 450 / d = 675 / d (N)
Examples:
- d = 0.1 m → F = 675 / 0.1 = 6,750 N
- d = 0.02 m → F = 675 / 0.02 = 33,750 N
If you provide a stopping time or distance (or coefficient of restitution for a bounce), I’ll give the numeric impact force.
Uzi umeishia hapa, Tuufunge huu mjadala.
1: finding accelerationA toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
CCM mitano tenaSerikali imekifungia chuo cha Mwanza university wanafunzi wadai pesa za takribani million 73 ambapo uongozi ulidai zitahamishiwa Bugando..
Kama mnavojua Watanzania njaa sana hiki chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine hukoo Bugando watapokelewa na nani?
It's better wakapewa pesa zao wafanye mambo mengine.
Hilo eneo linamkosi St. Mary's walipakimbia na hawa tena wamepakimbia.
Chuo kipo Nyamhongolo